Akizungumza na Mwananchi, Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi, Karim Boimanda, amesema katika mambo yaliyoibeba zaidi ligi hiyo ...
United tofauti na inavyofanya kwenye ligi kuu, huku imeonekana kuwa bora kutokana na kushinda michezo minne kati ya saba ...
Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo kufuatilia mienendo hiyo na kuchukua hatua haraka kwa watumishi wachache wanaotengeneza ...
Kamishna Mkuu wa Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Mwenda amesema wataendelea kukusanya kodi kwa manufaa ya Taifa bila kuingia migogoro na walipakodi.
Amesema Serikali imefanya maboresho na uwekezaji TMA ikiwemo upande wa miundombinu ya uangazi wa hali ya hewa na kujenga uwezo wa wafanyakazi.
Amesema Serikali inalenga kupunguza umasikini kwa kuwasaidia kifedha wananchi wasiojiweza na kushughulikia changamoto za msingi zinazowakabili katika maeneo yao wanayoishi.
Jumla ya watahiniwa wa shule 477,262 kati ya 516,695 wenye matokeo sawa na asilimia 92.37 wamefaulu kwa daraja la kwanza hadi ...
Mgombea huyo wa urais kwa tiketi ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010 alipandishwa kizimbani mahakamani hapo na kusomewa shtaka linalomkabili, Januari 10, 2025 akidaiwa kutenda ...
Katika uchaguzi huo, Mbowe aliyeshindwa na Tundu Lissu kwenye nafasi ya mwenyekiti, alikubali matokeo na kumtakia heri Lissu na timu yake nzima kukiendeleza chama hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amebainisha kwamba jiji hilo liko mbioni kuanza kufanya shughuli za kiuchumi ikiwemo biashara na kazi mbalimbali kwa saa 24.
Mvutano huu unaonyesha changamoto zinazozikumba juhudi za kutafuta maridhiano ya kitaifa, huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ukikaribia.
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi, imeiagiza Serikali kuingia makubalino na Hospitali ya Arusha Lutheran Medical Centre (ALMC) maarufu Selian, ili ...