Mashamba yaliyoathirika yanamilikiwa na wakulima 31 ambao ni wanachama wa Amcos za Magunga na Ifuma zilizopo wilayani humo.
Magali amesema kupitia wiki hiyo wataelezea mwenendo wa nishati jadidifu na mbinu za ufanisi wa nishati na kuwaeleza wananchi ...
Aliyekuwa mgombea uenyekiti wa Chadema katika uchaguzi wa Januari 21, 2025, Odero Charles Odero, amemshukuru mjumbe ...
Bashe amesema inawezekana wakurugenzi nchini hawajawatembelea wakulima kwa kuwa wako katika maandalizi ya kupokea Mwenge wa Uhuru.