Kati ya hao, 98 wamekufa lakini wote walikabidhiwa jana Alhamisi kwa ajili ya matumizi ya kesi za jinai, katika hafla ...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema bado hajamalizana na wabunge 19 waliovuliwa ...
Imeelezwa kwamba kuna faida nyingi za kupanda miti mbali na uhifadhi wa mazingira na kuwa hatua hiyo huongeza pia thamani ya jengo kwa asilimia 30.
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika kuanzia Novemba 11 hadi 29, ...
Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti Chadema Januari 22, 2025 na baada ya kutangazwa kushika wadhifa huo amesisitiza hatokuwa ...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu ya Serikali (PAC), imeagiza Serikali kuhakikisha inakamilisha mradi wa ujenzi wa uwanja ...
Siku 10 baada ya mtoto wa miezi saba kuibwa na watu wasiojulikana, familia ya mtoto huyo bado ina matumaini kuwa atapatikana ...
Uamuzi wa Rais wa Marekani, Donald Trump wa kuzuia misaada ya maendeleo kwa siku 90, umeanza kuleta maumivu katika maeneo ...
Mvua hizo zinatarajia kunyesha msimu wa masika Machi- Mei 2025 za chini ya wastani hadi wastani ni maeneo ya mikoa ya Pwani, ...
Dk Ochina anasema mara nyingi wagonjwa hao hufika wakiwa wamepata kiharusi, mshtuko au shambulio la moyo, lakini wanaongoza ...
Vilevile magonjwa yanayoathiri uchakataji vitamini D inayosaidia kuimarisha mifupa, matatizo ya tezi, unywaji pombe ...
Rangi za kucha zinaweza kuwa na kemikali zinazomdhuru mjamzito, hasa akiwa mtumiaji wa muda mrefu na kwa kiasi kikubwa.